Foleni isiishe Dar...naipenda

Ha ha ha ha! Yaani nmecheka mbavu sina! Baada ya Morogoro road sasa kimbembe cha foleni ni Kawawa road hasa Kinondoni yaani ni balaa!
Asante kwa taarifa mkuu...ngoja niifuate hukohuko
 
Ha ha ha ha! Yaani nmecheka mbavu sina! Baada ya Morogoro road sasa kimbembe cha foleni ni Kawawa road hasa Kinondoni yaani ni balaa!

Hata baiskeli mkuu huna una upload picha za boss wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…