Folate Deficiency?

Sam pizzo

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
846
515
Habari za majukumu! Mm Nina shida ya lips zangu zimekuwa red (mouth ulcers?) kutokana na kuishi sehemu ambayo ni kame kwa kipindi Cha muda mrefu takribani miez mitano hvyo kupelekea kukosa kula mboga za majani kwa muda mrefu. Nilipima wingi wa damu( blood pholymogram) na kukuta nina upungufu wa haemoglobin katika seli nyekundu za damu nikashauriwa kutumia dawa za aina ya "ferrous sulphate" na kuzingatia mboga za majani hasa matembele.Hv Juzi ngozi yangu imeanza kuwasha muda wote ni kujikuna nahisi ni Kama Kuna vitu vinanichoma hasa miguuni ,kwenye mikono na kichwani kwenye nywele.Naombeni Muongozo,ushauri wa matibabu ya hili tatizo.
Natanguliza shukrani
 
Una tatizo linaloitwa kitaalamu Hypercholesrolaemia, hivo pima ujue ni kwa kiwango gani limekuathili hiyo moja.TMJ

Pili unaweza kuwa na auto immune complex type (i) pima pale mjini posta karibu na Motelagip.

kabla ya yote nitafute pm
 
Sawa mkuu nipo Moro kwa Sasa ngoja nione Kama nitaweza kupima huku ikishindikana nirudi Dsm nipime kwa hizo hospital ulizonielekeza
 
Back
Top Bottom