Kuna rafiki yangu anampenda Focalistic hatari, sikuwa hata namfahamu nimeimbiwa chiki chiki yooooooo,
mpaka nikatia akili ndiyo nikaanza kumfuatilia..!
Babe girlie..!!Rafiki yako wa namna gani?
Babe girlie..!!
Kweli nimeona ni kibonge flani hivi😀😀Huyo msanii akiperform jukwaani ni minyama tu,akicheza minyama tu
Minyama ya ngozi yake?Huyo msanii akiperform jukwaani ni minyama tu,akicheza minyama tu