Focalistic kutua Dsm weeknd hii

Focalistic kutua Dsm weeknd hii

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,510
Msanii maarufu kutoka SA Focalistic AKA mzee wa Ke star atatua Dsm weeknd hii na atapiga show pale elements masaki. Msanii huyu anaetamba na kibao chake cha “ke star” featuring Vigro deep mtaalamu huyu wa amapiano ataperform jumamosi ya mwaka mpya 02/01/2021.

Watu wengi wamefurahishwa sana na ujio wa huyu mkali na wanamzuka sana. Huyu jamaa namkubali sana bigup kwa elements kumleta [emoji91][emoji91][emoji91]
IMG_7984.jpg

IMG_7985.jpg
 
Unaenda kwenye show kwaajili ya wimbo mmoja
 
Tusiende aseee
Jamaa hata muonekano wa kisanii hana,sioni nyimbo zake zikinivutia japo sizijui

Sawa, tutatafuta sehemu tuangalie zetu game ya Man Utd vs Aston Villa.

Maana sasa hivi mmefufuka.
 
wabongo sijui nani anayeturoga...wasanii wa ndani wanakufa njaa....wa nje wanakuja na kupiga tu ela wakikimbia covid 19 kwao,,,,,sijui TRA wanakumbuka kuchukua kodi zao?.... Ni mda na sisi tuanze toa wasanii wetu kwa wingi kufanya show za maana sio zile za birthday party
 
Mie naona msimu huu tunaongozwa na bahati,hakuna tunachofanya cha ajabu

Bahati hizo hizo ndo zinachukua ubingwa, kuna msemo wa, "Fortune Favors The Brave".

It means you are brave to make use of the fortunes.
 
Back
Top Bottom