FNL EATV sam missago na style yake ya utangazaji

FNL EATV sam missago na style yake ya utangazaji

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
753
Hivi ule mtindo wa kuwa anafumba macho kwa mda kidogo wakati akitangaza ni pozi au ana ulemavu kidogo...manaake naona kama anapata shida kidogo na kuna mda unaweza kusema anasinzia hadi anakutoa kwenye mood wewe unayemtazama... Licha ya content za show kuvutia ila namshauri kama ni pozi apunguze au aache kabisa kwani anasababisha usumbufu kwa baadhi ya watazamaji wenzake....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom