William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Wakuu wote JF, wasalaaam waleiykum!
- Katika siku za karibuni wananchi wa Tanzania tumejionea jinsi watawala wetu either wasivyo na maadili na uongozi tuliowapatia kama dhamana tu, wasivyo na adabu na sisi tuliowachagua, wasivyo na heshima kwa katiba na sheria za jamhuri yetu, wasivyo na utu, wengine walevi, waropokaji hovyo hovyo, incompetent, wasiowawajibikaji na ubaradhuli mwingi sana unaoonyesha kutotujali kabisa wananchi wa taifa hili.
- Ningependa sana kuwasikia wapinzani au kwa wale mlio karibu nao, kwamba wanafanya nini kuka-capitalize on yote haya ya uozo wa CCM? Na je tukiwapa uongozi hivi ni kweli watafanya tofauti na hawa waliopo kwenye uongozi wa sasa yaani CCM?
- I was just, thinking aloud!
Respect.
Field Marshall Es!
Mkiipa CHADEMA dhamana otafanya tofauti na CCM,will be the best ruling party in Africa.Nadhani steps zake mnaziona...
Very sad to say this,but hao wapinzani wanaonekana
ndio the worst,,,,,,,,,yaani hata hao ccm ni afadhali..
Mimi naamini hizi nchi za waafrika zilipewa uhuru haraka sana....
Tungepewa uhuru miaka ya tisini ingekuwa bora zaidi....
- mkuu okay, lets deal na what we have already, kuliko what we don't have si kuna nchi zingine kama namibia zimepata uhuru late, vipi na wao wako kama sisi tuliopata mapema, jaribu kwenda ndani kidogo!
- by the way ni majuzi tu one of my sister amerudi kutoka huko namibia alikwenda as a part of the team ya kusimamia uchaguzi wa huko uliofanyika karibuni, ananimbia kwamba huko hakuna cha anything zaidi ya swapo tu, kwa hiyo uchaguzi wao ni a piece of cake, sasa sisi vipi wapinzani wanajitayarisha vipi na uchaguzi ujao?
respect.
fmes!
FMES hii thread yako ina matatizo mawili
1. Kwanza inasababisha kilio kwa wapenda mabadiliko
2. Inahakisi hali halisi ya matatizo tuliyo nayo
I like Chadema, lakini jinsi walivyobadilika siku za karibuni hasa kwenye issue za uchaguzi(kutotangaza matokeo) Upinzani wanaweza WAKAWA WORSE KWENYE KUNG'ANG'ANIA MADARAKA!
Pili kuna KUHESHIMU SANA WENYEVITI WA VYAMA HATA KUWAONA KAMA MUNGU, HII NI ALAMA TOSHA YA UKIWAWEKA HAWA WATAGEUZA NCHI KWENDA KWENYE UFALME
CCM inabidi itoke madarakani though, nadhani FMES unajua msimamo wangu nawachukia CCM. Ila naogopa nisije kanyaga Mavi baada ya kuruka MKOJO
Kenya ni mfano Tosha, doa waliloliweka Chadema kufutika ni kazi sana, na imemuharibia sana Dr.Slaa.
MBOWE MSTAARABU SANA MBELE YA CCM!!! hajafika nusu robo ya akina Tsvangirai!
Nasubiri matusi kutoka kwa wanachadema , maana silaha yao kubwa ndani ya JF ni matusi tu!!!! anyway, that also explains something!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Butiku,qaresi???????
Mimi sioni umuhimu wa hawa watu....
I mean mi wazyri kwa ku criticise but....sioni kama
tunawahitaki kiuongozi....
Unahitaji new blood,new way foraward sio recirclyng...
What we need is an opposition party of intellectuals not the likes of Baregu au Azaveli. Hawa they are just philosophers and nothing else.
Kwa hiyo na wewe umemwamini huyo mkulu?? Tafadhali endelea na topic hii, ulivyoingiza tu kuwa ati mtu alyekuambia hayo maneno ni ya kigogo wa serikali umeniacha mbali! What did you expect him to tell you? For now leave Zimbabwe for Zimbabweans maana yetu ni mazito sana kuliko hata ya Tsvangirai. Kwetu hapa Mkulu wa nchi ni sellout zaidi, au huoni Loliondo na yale ya West!! Let us concentrate on our problems you may discover we will be worse than Zimbabwe in a very near future- Mkuu ninakusikia sana, lakini tafadhali sana msimataje tena huyu mtu wa Zimbabwe, yaani Tsvangira, maana ni majuzi tu nilikuwa na kigogo mmoja wa serikali yetu aliyekwua huko kwa muda kidogo akipima hali ya hewa ya kisiasa,
- Aliniambia kwa uchungu sana jinsi huyu jamaa alivyo a sell out, kwamba hawezi fanya anything huko Zimbabwe bila ya okay ya US na UK, as opposed na mawazo yetu wengi kwamba he is a hero, inasikitisha sana hata mimi nilishamshitukia sana mapema, lakini nilikuwa sina uhakika mpaka nilipokaa chini na huyu mkulu.
Respect.
FMEs!
Kwa hiyo na wewe umemwamini huyo mkulu?? Tafadhali endelea na topic hii, ulivyoingiza tu kuwa ati mtu alyekuambia hayo maneno ni ya kigogo wa serikali umeniacha mbali! What did you expect him to tell you? For now leave Zimbabwe for Zimbabweans maana yetu ni mazito sana kuliko hata ya Tsvangirai. Kwetu hapa Mkulu wa nchi ni sellout zaidi, au huoni Loliondo na yale ya West!! Let us concentrate on our problems you may discover we will be worse than Zimbabwe in a very near future