Flyover Ubungo bila bomoabomoa / Government reacts to proposal on revising road project

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
Ujenzi wa barabara zinazopita juu jijini Dar es Salaam umechukua sura mpya baada ya mchoro wa awali kubadilishwa ili kupunguza gharama kwa Serikali.

Chanzo: NIPASHE


A construction firm wants to use another model which it say it cheaper than the approved one, but TANROADS states that it is not aware of it.

An artist's impression of the UBUNGO inter-change that a contractor says is costlier and more difficult to undertake than the new one. Inset is the proposed inexpensive impression that experts prefer.

Source: THE CITIZEN
 

Attachments

  • IMG_20180429_094852.jpg
    IMG_20180429_094852.jpg
    191 KB · Views: 119
  • IMG_20180429_094914.jpg
    IMG_20180429_094914.jpg
    196.6 KB · Views: 111
  • IMG_20180429_094824.jpg
    IMG_20180429_094824.jpg
    179.9 KB · Views: 73
  • IMG_20180429_094951.jpg
    IMG_20180429_094951.jpg
    195.6 KB · Views: 84
Tukisema tunaambiwa wasaliti!! Mhutu kila mahali ni hasara tu!! Ni mkurupukaji asiye na subira!! Jengo la TANESCO aliharakia nini kulibomoa?

Nani atalipia hasara za mhutu kwa taifa hili?
 
Nukuu "I'm the one who signed the contract, nothing has been changed"
By MFUGALE / CEO

Mmmmh hapa napata kizunguzungu !
 
Tanroads hawana watalaam, wao ni kusign tuu. Fly over ya aina hii ipo tanzania tuu..
 
Back
Top Bottom