Flyover Mwenge inahitajika kwa haraka kuliko inavyofikiriwa, ona mwenyewe

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,063
40,724
Nikikuambia niko new bagamoyo road naelekea Mwenge, ni masaa mawili na hata kuyakaribia mataa bado, utaamini? Flyover hapa ipewe kipaumbele cha kipekee, ikiwezekana hata SGR isimamishwe kwanza ili bajeti ielekezwe mwenge, hii hali haivumiliki.
20180404_181531.jpg
 
Kweli kabisa, bado kazi tunayo, nashangaa wengi wetu tunakubaliana na haya badala ya kuandamana!
 
Nikikuambia niko new bagamoyo road naelekea Mwenge, ni masaa mawili na hata kuyakaribia mataa bado, utaamini? Flyover hapa ipewe kipaumbele cha kipekee, ikiwezekana hata SGR isimamishwe kwanza ili bajeti ielekezwe mwenge, hii hali haivumiliki.
View attachment 734259
Hahah kumbe ndio wewe. Nimekuona na siku ukizngua tu natuma picha yako humu. Niko kati ya hizi gari mbili za pembeni yako
 
Nikikuambia niko new bagamoyo road naelekea Mwenge, ni masaa mawili na hata kuyakaribia mataa bado, utaamini? Flyover hapa ipewe kipaumbele cha kipekee, ikiwezekana hata SGR isimamishwe kwanza ili bajeti ielekezwe mwenge, hii hali haivumiliki.
View attachment 734259
Hii nchi bhana, wapangaji wa vipaombele ni wengi sana. Ndio maana jamaa anakuwa mkali maana mnapotosha na kuwaondolea watu concentration.

Ingia pale PUMA mkuu ongeza wese tehe teh
 
acha uongo mkuu-kwani hii nchi mpanga vipaumbele ni jpm mwnyw!
 
Mkuu wakianza bomoa bomoa huko hautakua wa kwanza kulaumu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom