Fly Over 7 kujengwa jijini Dar

Nionavyo mimi na siyo lazima wewe ukubali....Wanachama na wapenzi wengi wa CHADEMA,CUF,NCCR,ACT au UKAWA kwa ujumla ni wapenda maendeleo na wanajiweza kielimu na ki uchumi.Mifano hai iko...angalia mchango wa Mbatia kwenye Elimu...
 
Yah, inaonekana pippo hawajui maana ya flyover! Wanadhan ni kidaraja km cha ubu go. Tembeeni kidogo muone!
Hakuna Flyover ya miezi 3 au 6 afu uite flyover huenda ziwe njia za kuvusha watu au magari. Dubai ina Flyover za ukweli lakini huwezi sema zilichukua miezi 3 au 6, make ukubwa wake (upana na urefu) ni karibu na mtaa mzima. Dar hii hii au nyingine? Flyover za aina hiyo zitajengwa wapi? wakati hata kubomoa majengo wameshindwa?
 
Fly over Za kutembea kwa miguu? Sasa Kweli muafrika akili Hana. Hii vipi tena kwani huku chini hakuna nafasi tena ya watu wanasongamana?
 
Flyover ya Tazara inayoanza kujengwa sasa itachukua miaka mitatu kukamilika.
 
Story tu nothing will be done I can assure you!
 
Jamani naomba mnijuze hivi kwa nini ilishindikana kuweka treni kutoka pugu hadi mnazi mmoja(station)?
Maana nahisi ingekuwepo ingepunguza kwa kiwango kikubwa foleni ya tazara na sehemu nyingine mpaka mnazi mmoja
Maana reli yake ipo karibu na barabara kuu watu wengi wangeacha magari kwani uwakika wa usafiri upo.
Hata wanaonde buguruni na kariakoo kuanzia chanika pugu yaani kwa kiwango kikubwa tarafa hiyo wangenufaika
Nahisi ni njia nzuri ya kupunguza foleni
 
Tuwe na uelewa kidogo tutambua kati ya madaraja na barabara za juu ....kinachojengwa Tazara si flyover bali ni bridge........ili iitwe barabara ya juu au flyover ....angalau iwe kuanzia kilomita kumi na kuendelea



The difference between Bridge and Flyover is based on the purpose of its usage and the location where it is built.

Bridges
  • Bridges are built to connect two points separated by a naturally occuring region like valley, river, sea or any other water bodies, etc.
  • They are usually lengthy depending upon the width of the valley or river.
  • Construction over river is tedious since foundation has to be carried out on the river bed.
  • Bridges are usually built for trains, buses and cars.
The Golden Gate Bridge

Flyovers
  • It is a structure which joints two or more points which are separated by an accessible route/s or a man made structure to cut the traffic for faster mode of travelling.
  • They are usually made over road junctions, roads, streets, etc.
  • The name itself suggests that you are flying over a traffic zone.
  • They are usually built for road vehicles.
 
naona wangeanza na barabara za pembeni wapunguze idadi ya magari yanayopita njia kuu.
 
Nadhani yatakuwa yanakaribia kuwa kama hili,kinyume na hapo ondoa neno "flyover"
 
Ungeiweka kiswahili tungenufaika wengi,lakini naona umeamua kutubagua.
 
13000x2000=26,000,000/= kama hakuna hujuma hiyo si haba kwa siku!! Sijaenda kwa mwezi au mwaka.
 
Miluzi mingi lakini sidhani kama watapotea mbwa wote.
Ukweli wa miji kama Dar es Salaam tatizo sio madaraja au fly overs kama wanavyoziita bali mji hauna barabara! Kuna miji ya wenzetu ambayo unakuta una population ya watu 2,000,000 lakini ukiangalia network yao ya barabara za kuunganisha vitongoji na highways ni kama mara 80 kulinganisha na Dar es salaam yenye watu zaidi ya milioni tano.
Kabla ya waziri kuongea haya wangewapa assignment CoET au watu wa Ardhi university hata miezi mitatu na pesa kidogo tu ambapo naamini wangelieweza kuja na model ya mtandao wa barabara ambayo iko compatible na miji kama Dar es Salaam. Mbali na hapo tutaendelea kuwaaminisha wakazi wake kwamba 'fly over' na mradi wa UDART ndio suluhisho la usafiri wa Dar es Salaam wakati coverage yake kwa mji haifikii hata 15%!
 
13000x2000=26,000,000/= kama hakuna hujuma hiyo si haba kwa siku!! Sijaenda kwa mwezi au mwaka.
hebu weka mchanganuo wako vizuri, katika hizi namba (13000x2000) 2000 ni nini na 13' ni nini!?
Nasikia gari dogo ni 1,500/- na watumiaji wanataka ipunguzwe. Na ukiangalia rate ya upitaji magari roughly unaweza kusema ni gari moja kila baada ya dakika 5, na hapo usiku wa manane mpaka alfajiri unaweza kupata gari moja baada ya dakika 7-13.
Ukijumlisha operating costs, depreciation na interest ya pesa inahitaji kama miaka zaidi ya 65 kurejesha billion 270.
 
hata daraja la kigamboni lilianza hivihivi taratibu kwa kupondwa mpaka sasa limeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…