Joshua robin Member Joined Aug 27, 2013 Posts 36 Reaction score 6 Mar 22, 2023 #1 Habari zenu wana-technologia!, Nahitaji kuIntergrate Mobile Application yangu na Mfumo wa malipo, ikiwa namaanisha mteja aweze kulipia kwa mfumo wa USSD. Naomba msaada nifanye nini? Natumia framework ya Flutter kudevelop
Habari zenu wana-technologia!, Nahitaji kuIntergrate Mobile Application yangu na Mfumo wa malipo, ikiwa namaanisha mteja aweze kulipia kwa mfumo wa USSD. Naomba msaada nifanye nini? Natumia framework ya Flutter kudevelop
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,270 Reaction score 9,414 Mar 22, 2023 #2 Ningependa kuijua hii zaidi pia.. Kuna na ile nyingine wanaita stripe,africa bado,ila kuna wabongo wanaitumia vizuri kabisa.
Ningependa kuijua hii zaidi pia.. Kuna na ile nyingine wanaita stripe,africa bado,ila kuna wabongo wanaitumia vizuri kabisa.
Joshua robin Member Joined Aug 27, 2013 Posts 36 Reaction score 6 Mar 22, 2023 Thread starter #3 Zeus1 said: Ningependa kuijua hii zaidi pia.. Kuna na ile nyingine wanaita stripe,africa bado,ila kuna wabongo wanaitumia vizuri kabisa. Click to expand... Ngoja nikaitafute niipitie hiyo
Zeus1 said: Ningependa kuijua hii zaidi pia.. Kuna na ile nyingine wanaita stripe,africa bado,ila kuna wabongo wanaitumia vizuri kabisa. Click to expand... Ngoja nikaitafute niipitie hiyo
Vontec JF-Expert Member Joined Nov 26, 2020 Posts 245 Reaction score 386 Mar 23, 2023 #4 Wajaribu Azam Pay wanakuja kwa Kasi na vizuri kwenye maswala hayo Lakini pia Kuna awa DPO group Online Payments Tanzania | DPO Pay by Network Payment Gateway Accept Online Payments in Tanzania. Tanzanian businesses can accept online payments from shoppers across the globe with DPO Group. dpogroup.com
Wajaribu Azam Pay wanakuja kwa Kasi na vizuri kwenye maswala hayo Lakini pia Kuna awa DPO group Online Payments Tanzania | DPO Pay by Network Payment Gateway Accept Online Payments in Tanzania. Tanzanian businesses can accept online payments from shoppers across the globe with DPO Group. dpogroup.com
Joshua robin Member Joined Aug 27, 2013 Posts 36 Reaction score 6 Mar 26, 2023 Thread starter #5 Vontec said: Wajaribu Azam Pay wanakuja kwa Kasi na vizuri kwenye maswala hayo Lakini pia Kuna awa DPO group Online Payments Tanzania | DPO Pay by Network Payment Gateway Accept Online Payments in Tanzania. Tanzanian businesses can accept online payments from shoppers across the globe with DPO Group. dpogroup.com Click to expand... Thanks chief, ngoja nifatilie
Vontec said: Wajaribu Azam Pay wanakuja kwa Kasi na vizuri kwenye maswala hayo Lakini pia Kuna awa DPO group Online Payments Tanzania | DPO Pay by Network Payment Gateway Accept Online Payments in Tanzania. Tanzanian businesses can accept online payments from shoppers across the globe with DPO Group. dpogroup.com Click to expand... Thanks chief, ngoja nifatilie
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,270 Reaction score 9,414 Mar 26, 2023 #6 Mimi nataka kuconfigure kwenye website yangu,mfano mtu wa malawi aweze kulipia huduma kwenye website kwa kutumia cc,mobile money etc alafu kwangu niweze kupokea bank au mobile money.. Ndo nahangaika na hili
Mimi nataka kuconfigure kwenye website yangu,mfano mtu wa malawi aweze kulipia huduma kwenye website kwa kutumia cc,mobile money etc alafu kwangu niweze kupokea bank au mobile money.. Ndo nahangaika na hili