Flutter: Mfumo wa Malipo

Flutter: Mfumo wa Malipo

Joshua robin

Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
36
Reaction score
6
Habari zenu wana-technologia!,

Nahitaji kuIntergrate Mobile Application yangu na Mfumo wa malipo, ikiwa namaanisha mteja aweze kulipia kwa mfumo wa USSD.

Naomba msaada nifanye nini?

Natumia framework ya Flutter kudevelop
 
Ningependa kuijua hii zaidi pia..

Kuna na ile nyingine wanaita stripe,africa bado,ila kuna wabongo wanaitumia vizuri kabisa.
 
Mimi nataka kuconfigure kwenye website yangu,mfano mtu wa malawi aweze kulipia huduma kwenye website kwa kutumia cc,mobile money etc alafu kwangu niweze kupokea bank au mobile money..

Ndo nahangaika na hili
 
Back
Top Bottom