Flow chart ya kutatua kugundua matatizo ya kompyuta

Flow chart ya kutatua kugundua matatizo ya kompyuta

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
Flowchart ni moja ya nyenzo au tekniki inayotumika kwenye mambo ya programming katika kuonyesha na kudocumment kwa hata mtu asiyekuwa mtaalam wa program nini sasa code/program zinafanya na mtiririko wa wa mwanzo hadi mwisho.

Kwa sababu inatumia michoro flowchart ni njia nyepesi ya kirafiki inayoweza kusadia kumfanya mtu yeyote atatue matatzo mengine ya kifundi. Kwa Makala hii tujaribu kucheki flow chart zilizotengenzwa na wataalm kutatua matizo sugu kwenye komyuta/laptop

Flow chart ya kutatua Matatizo ya kompyuta Kuwaka
boot-flowchart.gif


NB
katika flow chart hii hapo juu unaweza kuona kuna sehemu tatizo linaelekeza kwenda kwenye flow chart ya matatizo ya screen au VGA card. Hiyo nayo ni flow chart ambayo kutokana na ufinyu wa nafasi wameamua kuzitengenisha lakini ingeweza kuwekwa kwenye mchoro mmoja

FLOW CHART YA KUTATUA MATATAIZo YA VGA/screen



video-flowchart.gif



FLOW CHART YA KUTAMBUA NA KUTAUA MAtATIZO YA UBAO MAMA( MOTHERBOARD)

motherboard-chart.gif


Zimeletwa jf kwa hisani ya fixingmycomputer.

Flowhart hizi zinaweza kuwa msaada kwa mtu yeyote anapopata tatizo na kutaka kulitatua mwenyewe yaaani( DIY i.e Do it Yoruself) Au kwa mtaalam na ma-technician wanaopenda kufuata systematic aprroach to solving technical problems

Huo ni mfano wa flow chart kutatua matatizo nje ya programming

Nawasiisha
 
Mkuu thanx for sharing
Ungekuwa umepost asubuhi ningesema ni mning'inio wa laga za jana, maana umechapia kiswahili mbaya(typing error) kwi kwi kwiiiiiik
 
Mkuu thanx for sharing
Ungekuwa umepost asubuhi ningesema ni mning'inio wa laga za jana, maana umechapia kiswahili mbaya(typing error) kwi kwi kwiiiiiik

Itabidi maprogrammer waweke language au spelling checker ya kiswahili ili wachapiaji kama sisi itusaidie. Lol.
 
thanks mkuu kwa kutupa lecture
 
Naifufua hii kitu nimeona kribuni kuna wadau wanapata matatizo. kwa Anayepnda ufafanuzi wa hii Flowchart anakiribishwa
 
Naifufua hii kitu nimeona kribuni kuna wadau wanapata matatizo. kwa Anayepnda ufafanuzi wa hii Flowchart anakiribishwa

Safii..wengine hatukuwepo kipindi hicho.

Hii itasaidia wengi wasio wavivu kutafuta ujuzi
 
Back
Top Bottom