Mahaba nitetemeshee kama boko haramu nisitekwe miee(ni vizuri kama wamepatanaaaa
hahahaaaaaaaaaaaa,yanaitwa mahaba kanyela mumo
Mi nilikuwa nawaangalia tu , maana kila mtu alikuwa akijifanya anawajua sana akina mbasha, na mimi umbea ambao hata watoto wa mtakuja primary school wanaujua mi sifanyaji, umbea wangu mzito kama wa team dengue, ukimpata muhusika lazima azimie kwanza kwa mshtuko, nakumbuka nilimlizaga sana mainda maskini alilia mpaka nikamuonea huruma
Heri kwao kupatana maana ni pigo kwa ibilisi aliyetaka kutake advantage
Ahimidiwe Mungu
Wambea yametushuka jaman, kila siku tulikuwa tunamchamba florah, jamani wametuaibisha hawa, haswa hili li mbasha ndo limetudhalilisha sana kumtetea kote kule leo anatugeuka?, ngoja na yeye kesi yake bado ipo jikon ngoja walifunge kwanza na utahira wake
Ebu wafundishe mbinu za Umbea Mzuri aiseee, niliona kama si ktk Youtube Mainda anahojiwa kuhusu yeye na Ray kumbe ulikua wewe?
Wewe unafikir florah tahira amsamehe bure tu?, si anajua mumewe mda si mrefu ataenda kunyea debe so kaamua amfariji kidogo siku mbili tatu izi za uraiani ili akienda china afaidi vizur penzi la gwajima
Binamu leo nina stress kiama, kuna watu humu walisemag warumi mchawi sijui walijuaje, yaan nawaza kesho kwenye tuzo za BET roho inadunda kiama jinsi nilivyokuwa na roho mbaya, sijui ntakuwa mchawi kweli?, ila sio bhana kwan kutokumpenda mtu ndo uchawi? Waniache bhana, ndomo akishinda sijui nitaweka wapi sura yangu mie, maana simpendi kiama, eeh mungu atutie nguvu team haters kwa kweli, naisubir kesho kwa hamu
Ila furaha kubwa niliyonayo ni madam bibi bomba kutokwenda kwenye tuzo na sijui kwa nini hajaenda, maana tungekoma na hizo team za akina jipange uko insta mbona tungeharisha siku nzima , maana nakumbuka jipange alikuwa anajishaua kiama na nguo ya kuvaa madame kwenye bet eti alimchagulia kabisa
Heri kwao kupatana maana ni pigo kwa ibilisi aliyetaka kutake advantage
Ahimidiwe Mungu
Wambea yametushuka jaman, kila siku tulikuwa tunamchamba florah, jamani wametuaibisha hawa, haswa hili li mbasha ndo limetudhalilisha sana kumtetea kote kule leo anatugeuka?, ngoja na yeye kesi yake bado ipo jikon ngoja walifunge kwanza na utahira wake
Acheni kumsingizia shetan....u.puuzi wafanye wao halafu mnasema ibilis.....ni kukwepa wajibu kumsingizia ibilisi...ambaye kimsingi hayupo
Mahaba Niunguzeee
CC; TATIANA najua MCHUNGUZI HURU anamaind hizi CC anasema ni aina ya mtongozano