Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,137
- 2,966
mbona mnasema frola amsamehe mbasha?mbona hamsemi mbasha nae amsamehe frola kwa kitendo chake cha,mosi,kuamka saa kumi na moja alfajiri anaenda jim na kurudi saa nne asbh,kisha anaenda tena saa kumi jioni na kurudi saa nne usiku pasipo ridhaa ya mumewe,pili,kwenda kuishi gest huku akijua ni mke wa mtu na taratibu haziruhusu mke wa mtu kwenda kuishi mahala pengine zaidi kwa wakwe zake ili akashitaki huko na mume aitwe huko na ndg zake aonywe.tatu,kuliwa uroda na gwajima na kufikia kumuundia njama mbasha aende jela ili ajitanue na mchungaji gwajima. Je, kwahayo yote kwanini mseme frola amsamehe mbasha badala ya kusema nae mbasha amsamehe frola?
Wengi mtaniunga mikono kama sio Mguu kwa hili
Epukeni sana kuingilia ndoa ya mtu kingine nikiwa kama mshauri wa ndoa za wakubwa na watoto
Nimeona wengi wakiaibika kwakusikiliza watu ama mnenoya nje
Kumbuka maneno ya Mungu Flora
NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.....
SIO MIMII HII NI BAIBO UNAYOIAMINI KAMA NI HIVYO NIMESIKILIZA SEHEMU MUMEO AKIOMBAA MSAMAHA KWA SHEMEJIYAKO
LEO NI JUMAPILI MALAIKA SI MPAKA UMWONE ANAWEZAPITIA HATA JF HM AKA HABARIMCHANGANYIKO
DADA YANGU KIPENZI USIANGALIE WATU ANGALIA WATOTOWENU ANGALIA FAMILIA YENU MPAKA SASAA MMEJICHAFUAJE???NAJUA BINADAMU TUMEUMBWA WADHAIFU
NAAMINI MZEE WANGU KULOLA ANGEAMKA NA KUKUTA HAYA SASAHIVI ANGEOMBA ARUDI MBINGUNI ALIKOTOKA
TUMKUMBUKE MZEE NA HESHIMA YAKE ..TULINDE UPENDOWAKE..MIMI SIAMINI MKONO WAMTU UMEWAPITIA NAAMINI HILI NI PEPO LIMEQAPITIA LIKAKUTA UDHAIFU WENU BOTHSIDES NOW LINASHEREKEA MATUNDAYAKE LISHINDWE KWA JINA LA YESU
NAKUSHAURI NAKUOMBA NARUDIA TENA NA TENA ANGALIA FAMILIYAKO USIANGALIE WALIONYUMAYAKO WAMASEMA NINI AMA WAMATAKA NINI YATAMYOTOKEA NAAMINI UKIWA DUNIANI UTAKUWASHAHIDI WA MAUMIVU YA MUMEO
DADAYANGU FLORA MSIKILIZE MWENZIO KAENI CHINI KAMA NILIVYOMSIKIA MUMEO ANAKUOMBA MKUTANE UTAKI MWISHO UNAMWAMBIA AJISALLIMISHE KWANZA POLICE ELSE ATAAFIA JELA
MPENDWA AMA WAPENDWA KATIKABWANA HATA MUMEO AKIFUNGWA AMA MKEO MIAKA KAADHAA IPOSIKU UTAPELEKA CHAKULA JELA
NIMEONA NA USHAHIDI WA NDOA ILIOVUNJIKA MKE AKATESEKA SANA KUPELEKA CHAKULA AKIWA NA TALAKAYAKE
MUNGU WA MBINGUNI MUNGU WA MSAMAHA DADA MKAE CHINI MUYAMALIZE
NAAMINI NI MAPITO TU NA KILA JAMBO NA WAKATIWAKE
HITIMISHO
KILA JARIBU LINA MLANGO WA KUTOKEA NAAMINI AKU MWENYE NDOA ATAKAESHAURI MUACHANE ELSE TUNAWAACHIA WENYEWE
HATA COMMENTS UMAZOONA HUMU NYINGI NI USHABIKI USISIKILIZE NA WANAOTAKA MUACHANEWENGI WANAJISAIDIA KWA BABA N MAMA AMA WAMEACHIKA
NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
WOTE WENYE NDOA ZAO WALIOACHIKA NA WANAOFANYA PROCESS ZA KUACHAN
upuuuzi mtupu!
Huyo Mbasha asamehewe kwa kosa lipi alilolifanya? Si hajabaka? Sasa anaomba sorry kwa kosa gani?
Lete Isiyo Ya Upuuzi, Ng'ombe Wee
Wamekutana my dada na wanavyaondikwa ndio daaaaanh moto nyikani,zinavurugika ndoa kila siku na wanabakwa masikini hohe hahe kesi hazifiki popote! !!!!! Hawa wanaoewa promo ndio maana wanapata vichwa. . .Mi nawashauri watoe albam soon mgogoro ukipoa watauza sana!!!!!
Mkuu Pdidy umeicopy wapi hii? maana najua huwezi kuandika vizuri hivi.
Aaaanh mashauzi yao tu by the way wanaoachana wanapiga kelele?????!!!!Shangaa na wewe! Issue inavuuuma as if wao ndio wa kwanza kupatwa na migogoro kwenye ndoa.
akati asilimia nyingi ya ndoa zina majanga lukuki! Hiyo yao cha mtoto!