FLEET AND FUEL MANAGEMENT SOLUTIONS

albertdaniel

Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
7
Reaction score
1
Habari wakuu,

Kampuni yangu inajihusisha na solutions za kuimprove safe and transparent fuel utilization.

Systems tuna-install kwenye mobile na stationary tanks. Hivyo wamiliki wa heavy vehicles kwenye construction companies, mining companies, marines, fuel dealing companies na kuendelea hii ni kwa ajili yako

Systems ni rahisi kuelewa na monitoring yake ni nzuri na teknolojia yake ni ya kisasa. Wale wanao-dip sticks ili wapime mafuta usijipe tabu, hii ni automatic na data zinakufikia in your desktop computer, tablet, laptop on the spot

Usikubali kupoteza mafuta ewe MD, manager, na mkereketwa yeyote.

For more info
0735573535
kileo.ngt@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…