Wanawake hawaruhusiwiUnataka kutuambia ni mwanachama wa wajenzi huru??
Wacha maneno mengi weke facts, Niko happa nakusbir uziwekeVery true aisee, atakaebisha nitakuja na full evidence muhimu tu tuelewe kuwa she is in the Illuminati 100% , this is from my reliable sources. And one of the reasons she was in las vegas is fullfilling her rituals coz it was ritual season for all sellouts to their beloved Goat lucy. Anyway mkuu upo sahihi sio mwenzetu huyu..........
Who said so??? Women are all allowed though they practice their rituals differently, uingereza london pale khna masons wa kike na they have there HQ pale uingereza, kwenye hili suala hawana ubaguzi wa nani asiingie since they aim katika kukana uwepo wa God almighty mkuu, sorry kama utakwazika.Wanawake hawaruhusiwi
Ebu lete hizo evidence full.Very true aisee, atakaebisha nitakuja na full evidence muhimu tu tuelewe kuwa she is in the Illuminati 100% , this is from my reliable sources. And one of the reasons she was in las vegas is fullfilling her rituals coz it was ritual season for all sellouts to their beloved Goat lucy. Anyway mkuu upo sahihi sio mwenzetu huyu..........
DuhVery true aisee, atakaebisha nitakuja na full evidence muhimu tu tuelewe kuwa she is in the Illuminati 100% , this is from my reliable sources. And one of the reasons she was in las vegas is fullfilling her rituals coz it was ritual season for all sellouts to their beloved Goat lucy. Anyway mkuu upo sahihi sio mwenzetu huyu..........
Kuna wanaofanya hivyo kwa kufuata mkumbo tu, alama nyingi za vidole huchukuliwa kama swaggaz na wengi bila kutambua kuwa wanapromote hizo societies secretly.Bado sijaelewa. Kwahiyo mtu akiziba jicho moja ni illuminati
Ujue hata kuvaa nguo kuna jamii nyingine wanaona ni vitu vya tofauti. Ambaye ana amini hicho kitu ndio atakitafsiri vile kilivyo. Mfano wewe una amini illuminati obviously ukiona mtu katumia alama zenu utajua ni mwenzio lakini kwa mimi ambaye sijui naona ni pozi tu.Kuna wanaofanya hivyo kwa kufuata mkumbo tu, alama nyingi za vidole huchukuliwa kama swaggaz na wengi bila kutambua kuwa wanapromote hizo societies secretly.
Ushauri:Ujue hata kuvaa nguo kuna jamii nyingine wanaona ni vitu vya tofauti. Ambaye ana amini hicho kitu ndio atakitafsiri vile kilivyo. Mfano wewe una amini illuminati obviously ukiona mtu katumia alama zenu utajua ni mwenzio lakini kwa mimi ambaye sijui naona ni pozi tu.
Hivi kuna kitu kipya ambacho tumekibuni wenyewe bila kuiga kutoka huko? Na tulifatilia maana zake?Ushauri:
Usifanye au kuiga jambo lolote especially western fashion and lifestyle bila ya kujua maana yake.
Whatever. Ukianza kudadisi kila kitu itabid urudi kwenye zama za mawe uishi kama ngedereNi uamuzi wa mtu binafsi kupenda kuujua ukweli.
And,,,
Remember, symbols rule the world.
Hata kufunga tai ni alama mbaya sana basi tu tunaiga.Ushauri:
Usifanye au kuiga jambo lolote especially western fashion and lifestyle bila ya kujua maana yake.