Flaviana matata

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
..umebaini nini katika picha hizi!!??
 
Ka Flaviana kazuuriii, na mme wake na kazuriii..... nilitamani kuja kuona mazao yao ambavyo angekuwa na kasura nusu flavy nusu mumewe.

Japo tunahisi kwa kuona taswira ila kuvaa pete au kutokuvaa pete ya ndoa au uchumba haimaanishi umeachana na mahusiano yako au wanaovaa pete za ndoa au uchumba haimaanishi wameolewa/wameoa au wamechumbiwa. Pete ni urembo tuu kama ilivo mkufu au hereni, kama ni ndoa iko moyoni an kama watu hamko moyoni kwa kila mmoja hata kama mnavaa pete ya kuzuia urefu na upana ndoa haipo hapo.

Kama mwanamitindo nae anatambulika kama msanii basi ujue yawezekana wakati anapiga hizo picha alikuwa kazini na aliamua kuzivua.

Aaaaggghh bana eeehhh watajua wenyewe na mahusiano yao, waliokuwa wanammendea mate jaribuni kutupa ndoano kama atakubali basi mpige show za afya sio za kukomoana.

Kasie Mahaba.
 
Nimebaini kuwa; Msichana kabla hajawa kicheche picha ya mwanzo; kweli alikuwa mzuri aisee. Ndipo alipokuwa akijifunza kupaka rangi akajikuta badala ya wanja akapaka rangi za nyummba. Ushamba tu. Mwangalie alipofuzu u kicheche wake hadi kwa Trump sasa kawa kituko.
 
Mkuu umenena vema kabisa Lakini kuna big point unayoimis kutoka katika hizo picha [emoji834][emoji833][emoji834][emoji833][emoji469]
 
She sold her soul to the devil
Very true aisee, atakaebisha nitakuja na full evidence muhimu tu tuelewe kuwa she is in the Illuminati 100% , this is from my reliable sources. And one of the reasons she was in las vegas is fullfilling her rituals coz it was ritual season for all sellouts to their beloved Goat lucy. Anyway mkuu upo sahihi sio mwenzetu huyu..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…