Ukitaka block kamuulize hilo swali kule insta.Ni kweli kaka,angeweza kuja na ped za 500 au 1000 walau! Hii 3000 ni kubwa sana kwa mabinti zetu,hivi ndoa yake iliishia wapi? Maana nasikia kulikua na mtafaruku mkubwa sana
Kuna shida kwan?Mkuu Mbona umejiwahi hivi
Naona la msingi serikali ingesamehe kodi walau kwenye material ya kutengeneza hizo taulo au kuweka ruzuku ili kusaidia wanawake wanunue pedi zilizo Bora,salama na bei rafiki.Swali ni jepesi.....''Unafahamu gharama aliyozalisha bidhaa mpaka kuingia sokoni?'' Ulitaka iuzwe chini ya sh.2000,kana kwamba unuhakika Unit cost ni chini ya hapo.
Bidhaa ndio kwanza imeingia sokoni,hata mrejesho wa ubora kujustify bei ni kubwa ama ni stahiki huna. Sitetei wala kupinga hiyo bei,lakini walau tunapotoa lawama ama kudhihaki juhudi za watu tuwe na hoja zenye mshiko.
Umewahi kutumia aina ngapi za pedi?Una uhakika kuwa hizi nyingine za hazina ubora kwa kulinganisha?
Nop🏃🏃Kuna shida kwan?
Walau hapo umekuwa muungwana.Sijui.
.Basi badala ya kumkatisha tamaa tumshauri nini afanye hata wenye kipato cha chini sana,waweze kumudukwa 3,000 ni gharama kubwa kwa mwanamke masikini kuafford
Nina uhakika yeye si Serikali au NGO...hata wao wanazingatia gharama za uzalishajihaijalishi katumia gharama kiasi gani.
Hili ni moja ya pendekezo muhimu ambapo tangu mwanzo ungeliainisha..la msingi serikali ingesamehe kodi walau kwenye material ya kutengeneza hizo taulo au kuweka ruzuku ili kusaidia wanawake wanunue pedi zilizo Bora,salama na bei rafiki.
Dunia Sahv hakuna cha bureNdio hata bure kabisa
Walau hapo umekuwa muungwana.
.Basi badala ya kumkatisha tamaa tumshauri nini afanye hata wenye kipato cha chini sana,waweze kumudu
Nina uhakika yeye si Serikali au NGO...hata wao wanazingatia gharama za uzalishaji
Hili ni moja ya pendekezo muhimu ambapo tangu mwanzo ungeliainisha..
Afadhali lawama umepeleka sehemu husika.Sijui.Lakini kwa 3,000 ni gharama kubwa kwa mwanamke masikini kuafford haijalishi katumia gharama kiasi gani.Naona la msingi serikali ingesamehe kodi walau kwenye material ya kutengeneza hizo taulo au kuweka ruzuku ili kusaidia wanawake wanunue pedi zilizo Bora,salama na bei rafiki.
Wewe unatumia ped za aina gani?Pedi zinatofautiana ubora.
Kapicha pls ka hizo condom za 65kMkuu wewe mwambie demu wako anunue za bei anayomudu, mbona kuna condom za 65,000 kwa pakti moja na kuna za buku jero so the choice is yours usitake mtu afanye biashara ambayo haitampa faida.
Halihusiani na jinsia yangu hilo swali.We unatumia ped za aina gan
Si rafiki kwa nani??Utakavyonichukulia wewe. Lakini hoja hapa ni Flavy anauza pedi 3,000 bei ambayo si rafiki kama anavyoitangaza.