Ni kweli kaka,angeweza kuja na ped za 500 au 1000 walau! Hii 3000 ni kubwa sana kwa mabinti zetu,hivi ndoa yake iliishia wapi? Maana nasikia kulikua na mtafaruku mkubwa sana
Nimeuliza maswali mawili,hujatoa jibu zaidi ya wewe kuniuliza swali. Uzi wako umeenda moja kwa moja katika kutoa lawama na kudhihaki juhudi alizofanya(kana kwamba unauhakikika pasi na shaka ya uzalishaji wa bidhaa hiyo)Una uhakika kuwa hizi nyingine za hazina ubora kwa kulinganisha?
mkuu wewe mwambie demu wako anunue za bei anayomudu, mbona kuna condom za 65,000 kwa pakti moja na kuna za buku jero so the choice is yours usitake mtu afanye biashara ambayo haitampa faida.
Mchangieni hela auze kwa hiyo bei 500 au 1000Ni kweli kaka,angeweza kuja na ped za 500 au 1000 walau! Hii 3000 ni kubwa sana kwa mabinti zetu,hivi ndoa yake iliishia wapi? Maana nasikia kulikua na mtafaruku mkubwa sana
Nimeuliza maswali mawili,hujatoa jibu zaidi ya wewe kuniuliza swali. Uzi wako umeenda moja kwa moja katika kutoa lawama na kudhihaki juhudi alizofanya(kana kwamba unauhakikika pasi na shaka ya uzalishaji wa bidhaa hiyo)
Wabongo katika ubora wenu. Mshaingia kwenye mambo yake ya nyumbani sasa.Ni kweli kaka,angeweza kuja na ped za 500 au 1000 walau! Hii 3000 ni kubwa sana kwa mabinti zetu,hivi ndoa yake iliishia wapi? Maana nasikia kulikua na mtafaruku mkubwa sana
Swali ni jepesi.....''Unafahamu gharama aliyozalisha bidhaa mpaka kuingia sokoni?'' Ulitaka iuzwe chini ya sh.2000,kana kwamba unuhakika Unit cost ni chini ya hapo.Unataka nikujibu jibu unalolitegemea wewe lakini nimekujibu hivyo.
Mkuu Mbona umejiwahi hiviPedi zinatofautiana ubora (mi sio mwanamke).