natumai hamjambo wana jamvi
kikubwa ni kukuomben kuninasua katika hiki kimtego cha mwenye nyumba maana tangu mwezi huu uingie ni kubisha hodi tu..kufuata kod yake, na mambo y matatizo anadai yapo nje y mkataba wetu
so kuanzia mda wowote nitakuta vitu vyangu nje..SO NIMEAMUA BORA NIUZE FLATSCREEN YANGU TU NIGOMBOKE(Tsh 240000)
Ahsanten