Flat tv

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
114
nimepasua kioo cha LG flat tv inchi 32....nahitaji msaada kama naweza kupata kioo chake jamani....!nitashukuru sana hasa ukinitajia na gharama za hicho kioo ili niamua kutafuta hela ya kununulia tv mpya au nitengeneze....!call me +255714 227532
 
pole sana,Vioo vinapatikana,lakini inatakiwa nikione kwani TV inaweza kuwa LG kioo kikawa cha Sharp au Sony etc.So nikikiona na kujua model yake ndo ntakupa bei. nna jamaa yangu anaviuza na anaovyo vya aina karibuni vyote.ntakupigia baadae tupange jinsi ya kuonana.

nimepasua kioo cha LG flat tv inchi 32....nahitaji msaada kama naweza kupata kioo chake jamani....!nitashukuru sana hasa ukinitajia na gharama za hicho kioo ili niamua kutafuta hela ya kununulia tv mpya au nitengeneze....!call me +255714 227532
 
thanks mkuu nitashukuru sana tena sana.....nitafute ukiona sipatikani we nitumie sms kwenye hiyo namba niliyoitoa....!
 
jamani bado sijapata msaada wa hili tatizo langu
 
mkuu nasubiri simu yako au kama vipi ni pm basi namba yako ya simu
 
nimepasua kioo cha LG flat tv inchi 32....nahitaji msaada kama naweza kupata kioo chake jamani....!nitashukuru sana hasa ukinitajia na gharama za hicho kioo ili niamua kutafuta hela ya kununulia tv mpya au nitengeneze....!call me +255714 227532
Kiongozi upo wapi tuyajenge mi ya kwangu imeungua taa, Kama vp nitafute tuongee kuhusu kioo. Mi nipo Kibaha
 
Bila shaka umemquote jamaa ktk muda si sahihi. Inaonyesha jamaa tatzo lilikuwa ni la mwaka 2013 so atakuwa ashapata suluhu. Shida mi Niko mbali tungeweza kuyajenga. Niko mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…