Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,543
- 11,822
Kuna majukwaa ya siasa, upuuzi wako peleka huko. Kama swali halikuhusu "ficha upumbavu wako" muhusika aje kujibu.Utamsubiri sana. Alienda Mtwara kulima korosho, jeshi limeshindwa kuzikusanya na kuzibangua. Mtaji hana tena.
Sent using Jamii Forums mobile app