ntakutembelea mkuu![]()
TCL 40"smart tv
970,000
Delivery in dar es salaam na kwa mikoani tunatuma pia
0717-062242
Tupo k.koo(CHINA PLAZA)
poa,,una TV za 4kOk karibu sana mkuu
nipe bei kianzio.. nchi 42 na kwenda mbele
sawa mkuu, ngoja nifanyie kaziLg 42"=1,700,000/=
Ok karibu sana mkuu
32'' ni bei gani mkuu![]()
TCL 40"smart tv
970,000
Delivery in dar es salaam na kwa mikoani tunatuma pia
0717-062242
Tupo k.koo(CHINA PLAZA)
Boss hii TV bei yake sasa iv shilingi ngapi maana mwaka umekatika tangu umepost bahati mbaya na mm ndio leo naona tangazo lako na mwaka 2019 nataka niweke flat geto NIPE BEI BOSS![]()
TCL 40"smart tv
970,000
Delivery in dar es salaam na kwa mikoani tunatuma pia
0717-062242
Tupo k.koo(CHINA PLAZA)
Swali zuri mkuu. Lkn yawezekana aliyeposti ni miongoni wa waliofunga maduka K/koo. Maana hii ndiyo nchi pekee duniani ambapo makusanyo yanaongezeka wakati biashara zinakufa.Boss hii TV bei yake sasa iv shilingi ngapi maana mwaka umekatika tangu umepost bahati mbaya na mm ndio leo naona tangazo lako na mwaka 2019 nataka niweke flat geto NIPE BEI BOSS
mimi hizo HABARI sipendi kusikia Mi nimetaka invoice sasa HABARI za kufunga duka ilihali vitu vya electronics ni biashara za kila siku zinatoka sana izi biashara therefore mtuma UZI kama yupo online alete BEISwali zuri mkuu. Lkn yawezekana aliyeposti ni miongoni wa waliofunga maduka K/koo. Maana hii ndiyo nchi pekee duniani ambapo makusanyo yanaongezeka wakati biashara zinakufa.
Utamsubiri sana. Alienda Mtwara kulima korosho, jeshi limeshindwa kuzikusanya na kuzibangua. Mtaji hana tena.mimi hizo HABARI sipendi kusikia Mi nimetaka invoice sasa HABARI za kufunga duka ilihali vitu vya electronics ni biashara za kila siku zinatoka sana izi biashara therefore mtuma UZI kama yupo online alete BEI