Toa offer yako utafutiwe! kuna Singsung mpya kabisa kwa 350,000 LCD 22''
Wacha kusimuliwa ndugu yangu! Unajua unachokiongea? Mi najua yote kuhusu hizo life span za haya madude " profesionally" na inayoongoza kuwaumiza kichwa watu sio LCD ni Plasma ndio ina life expectacy ndogo kuliko and yet it is the most expensive one! You know kati ya hizi LCD,LED na Plasma kila moja ina faida na hasara zake so ni kupima tu kutokana na mahitaji yakomkuu usije logwa ukanunua LCD!LCD inatumia crystal,na crystal huwa inaisha!nunua LED!kama huna hela ya kutosha bora ujichukulie gobole lako tu,,ile design ya kizamani!aka mzinga wa nyuki.
Hii Singapore ndugu yangu its a copy of Samsung just like SONY and SQNY, wanaziita zombie factory wenyewe ie they copy everything and sell under another brand but the owners are one and sameMkuu, hii brand ni ya wapi? kama ngeni maskioni mwangu vile!
Ndugu kwa Singsung LED ntakudanganya labda other brands na naweza kukutumia hadi Kahama tukielewana malipo tuimawezekanaje kunifikia hapa kahama.unitafutie led flat tv/monitor
Ni PM na specs za Sony 40" LCD not plasma.Kuna L.E.D TV, 1080p Full HD na ni 3D mpyaaaaaa.... kuna Sony, LG, Samsung, Philips, Changhong, Konka, nk kama uko serious contact hapa.
Taratibu Parachichi essentially LED TV ni LCD TV iliyofanyiwa improvement katika energy consumption.mkuu usije logwa ukanunua LCD!LCD inatumia crystal,na crystal huwa inaisha!nunua LED!kama huna hela ya kutosha bora ujichukulie gobole lako tu,,ile design ya kizamani!aka mzinga wa nyuki.
mkuu usije logwa ukanunua LCD!LCD inatumia crystal,na crystal huwa inaisha!nunua LED!kama huna hela ya kutosha bora ujichukulie gobole lako tu,,ile design ya kizamani!aka mzinga wa nyuki.
Singapore ,mabaharia wa zamani walikuwa wanaita SingapureMkuu, hii brand ni ya wapi? kama ngeni maskioni mwangu vile!