Flat Sreen TV LG original 42'' Mpyaa inauzwa

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
646
Reaction score
1,225
Ni LG original
42'' FLAT SREEN, new model, thickness yake ni zile nyembamba picha za HD inauzwa 750,000/=
Dukani ni 1,3000,000/=
Jamaa anauza sababu alipewa zawadi TV kubwa zaidi ya 51" kwenye sherehe yake.
Ukitaka picha kama una whasap utatumiwa za kutosha ikiwa inaonyesha picha
Mawasaliano 0759501127
 
Ina valid warranty?
 
Akigusa 550000 naomba niitwe fast itakua heri kuliko hizi sarafu nikinywea bia.
 
Umesema dukani ni bei gani mkuu?

Au nimesoma vibaya.
 
Ni LG original
42'' FLAT SREEN, new model, thickness yake ni zile nyembamba picha za HD inauzwa 750,000/=
Dukani ni 1,3000,000/=
Jamaa anauza sababu alipewa zawadi TV kubwa zaidi ya 51" kwenye sherehe yake.
Ukitaka picha kama una whasap utatumiwa za kutosha ikiwa inaonyesha picha
Mawasaliano 0759501127
BADO IPO???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom