Flat screen inauzwa!

Flat screen inauzwa!

Status
Not open for further replies.

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,365
Flat screen used inauzwa aina y singsung nch 21 lak 2 na 60 with deki lak 3 kamili! At dodoma town.if u need it jus pm me 4 more commnctn.
 
Flat screen used inauzwa aina y singsung nch 21 lak 2 na 60 with deki lak 3 kamili! At dodoma town.if u need it jus pm me 4 more commnctn.

ni singsung? ina onesha ina undugu na samsung eee... au chinese style ta kutumix wateja:rockon:
 
Hata 30000 si itaki singsung? Kwanini isiwe sumsung? Hahahaaa chinese
 
SINGSUNG ni product from SINGAPORE and i can bet jamaa product zao ni nzuri sana..
NNATUMIA LED SINGSUNG FLAT TV 22(Nliinunua 280,000 kariakoo) kipindi zimetoka but sasa zimepanda sana bei... Na nna dvd player mwaka wa tatu sasa...Sijawahi pata tatizo hata siku moja
 
WAELIMISHENI WATU WAHELEWE WABONGO MAHODARI KWAKUCHAGUA MAJINA HAWAELIWI KUA SIngsung bola kuliko samsung
 
singsung ni BORA but SAMSUNG ni BORA ZAIDI.. Tusiwe bias hapa
 
Hata 30000 si itaki singsung? Kwanini isiwe sumsung? Hahahaaa chinese

Na wewe hiyo Sumsung kwanini isiwe Samsung?

Unajifanya mjuaji wakati kichwani hakuna kitu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mbona watu wanabisha hapa badala ya kununua hicho kideo?
 
Kuna brand nyingine inaitwa SANSUI ya Japan, dah hiyo kiboko ya matatizo!
 
Simshauri mtu hizi Electronics items zenye majina ya ubatizo kununuwa mikononi tena Used!! no way.

Wanaotowa one year gurentee siyo wajinga ndio biashara za kisasa, zipo Product za kununuwa used mfano Made in USA, UK au German.
 
SingSung imara sana tena bora kuliko Samsung
mpwa nilikua na dvd player ya singsung, miezi minne tu ilikua mingi, kwishney nikaitupa.
kamata brand kama samsung, sony na LG hapo unasahau!.
 
SINGSUNG ni product from SINGAPORE and i can bet jamaa product zao ni nzuri sana..
NNATUMIA LED SINGSUNG FLAT TV 22(Nliinunua 280,000 kariakoo) kipindi zimetoka but sasa zimepanda sana bei... Na nna dvd player mwaka wa tatu sasa...Sijawahi pata tatizo hata siku moja

AVATAR yako kama picha ya bujibuji anatafakari safari ya bungeni kwenye uchaguzi mdogo ujao!
 
mpwa nilikua na dvd player ya singsung, miezi minne tu ilikua mingi, kwishney nikaitupa.
kamata brand kama samsung, sony na LG hapo unasahau!.

mpwa utakuwa ulikamata SINGSUNG ya mkandarasi nazo zipo, mi mbona mwaka wa 3 huu unapiga mzigo kama kawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom