Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
Iwe nchi 24, 28 au 32
Isiwe imetumika muda mrefu(iliyo ndani ya warant itapendeza zaid)
Bei ni maelewano kulingana na size na aina ya screen..
Mnunuzi yupo Dar hivyo muuzaji pia awe Dar au viunga vya jirani kurahisisha usafiri.
Dalali hatakiwi, kama unayo njoo PM