Flash zinanizingua

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Laptop yangu inatumia kaspersky ant virus na haina matatizo yoyote, tatizo nikinunua flash mpya ntaweka data zangu, baada ya muda nikitaka kuweka zingine inaniambia hamna space ya kutosha, nikianza kudelete mafail ilinipate nafasi lakini wapi kila nikidelete mafail yanarudi tena, na yakikubali kufutika flash nainaonyesha imejaa,nikijaribu kuformat inakataa. nisaidieni wajameni flash ya 4 sasa hii
 
Inawezekana hiyo flash ni ya kichina (a.k.a fake). Thibitisha hilo kwa kujaribu flash ingine ambayo unaamini itakuwa genuwine
 
Back
Top Bottom