the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,104
- 357
Naomba kusaidiwa wakuu, nina flash ya toshiba 8GB kwenye pc yangu W7 32bit nikichomeka haionekani, nikihamisha kwenye computer ya jamaa 64bit inaonekana. Naomba kama kuna uwezekano wa kusoma kwenye pc yangu ya 32 bit.