Kwa yeyote anayejua namana ya kutuma flash msg kwa pamoja na kuweka password kwenye inbox sms hasa kwenye cm za nokia na blackbery anieleweshe tafadhali

Google application inaitwa livesms2.0, hii ina hide text, so mtu akichek inbox hawezi kuziona msg hadi uzirudishe mwenyewe..Hii ni nzuri tofauti na zile za ku lock messaging ambapo mtu anaona umelock