MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 193
- 127
Habari wakuu!!Nina flash ile yenye pande mbili yaani unaweza weka katika simu au hata pc...sasa nikiichomeka katika pc inasoma vizuri ila katika simu haisomi...msaada wa hili plz
Ok mkuuKwenye simu kuna kitu inaitwa OTG kwaio ingia kwenye setting andika OTG kama ukiipata hakikisha una turn on kama ukiikosa basi simu yako haisapoti flash hasa Infinix,itel,Tecno
OkSio kila simu inaweza kusoma flash, unatumia simu aina gani?
Habari wakuu!!Nina flash ile yenye pande mbili yaani unaweza weka katika simu au hata pc...sasa nikiichomeka katika pc inasoma vizuri ila katika simu haisomi...msaada wa hili plz
Iko poa . Nipo nayo miaka kama 4 hivi
Unaiformat vipi mkuu??Simu nyingi sana siku hizi zinasoma Flash. Endapo flash yako ina kichwa cha MicroUSB kama hii hapa kwenye picha. Basi kinachotakiwa ni kwamba uiFormat kwa kutumia default FAT32 ndipo itatambulika kwenye simu. Kama Flash ipo katika format ya NTFS basi kwenye computer itaonekana ila kwenye simu haitaonekana.
View attachment 2112969
TAHADHARI:Unaiformat vipi mkuu??
Mimi yangu ni simu ya Huawei ya mwaka 2016 ila inasoma mifumo yote hata NTSF, na inasoma mpaka external hdd 1TB bila kuflash, na inaplay format zote za video hata mpgSimu nyingi sana siku hizi zinasoma Flash. Endapo flash yako ina kichwa cha MicroUSB kama hii hapa kwenye picha. Basi kinachotakiwa ni kwamba uiFormat kwa kutumia default FAT32 ndipo itatambulika kwenye simu. Kama Flash ipo katika format ya NTFS basi kwenye computer itaonekana ila kwenye simu haitaonekana.
View attachment 2112969