Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Wakuu naombeni jinsi ya kufungua flash yangu. Nimeiscan ila ndio hivyo imegoma kufunguka. Solution tafadhali
Flash zina majina mkuu. Flash zote ni za kawaida.
Cha msingi ni kujua kama ni Transcend, HP, Toshiba, Sony au .................???????????
hebu jaribuni kufungua kwa command.......