Flash gallery software

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
444
Hi you all!!!
Ninaombeni msaada wenu kwa uzoefu wenu ni ipi software nzuri ya kutengenezea flash slide show galleries ambayo mwishowe inaweza kutengeneza html za hiyo gallery au namna nyingine mjuavyo lakini ambayo ni rahisi kidogo kutumia au kuizoea.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…