wanajamvi naomba kujuzwa flash aina gani ni nzuri
.
San disk na kingstone
zna matatizo sana...
Tena sandisk hata memory card zake ni balaa tupu...
Kingstone ikianza kuzingua huwezi ku format kirahisi....
.
Ila mi naona Adata zina u afadhali japokuwa after 10 years zina be dead...
Tena zinakuwa na speed ndogo sana . Unaweza kuhamisha file la 700mb kwa muda mrefu.
hapo kwenye speed umedanganya,
speed ya kuCOPY file inategemeana na "file system"
kama storage ina file system ya NTFS hapo speed ya kuCOPY itakua kubwa ila kama hyo storage itakuwa formatted kwa file system za FAT au FAT16 hapo spid ya kusafirsha data kupta humo lazma iwe ndogo,
angalau FAT32 Inajtahdi
haya majitu tumeyasoma 2,
may b mm ckuelewa waweza kunkosoa kwa hoja
sandisk ndio nzuri kuliko zote ikiwa original na pia sijui kutofautisha original na feki. hawa jamaa sandisk niliwaona ces wapo hivyo quality yao si ya kitoto.
sony pia wana flash nzuri ila pia kuna fake zake.