Kwenye bios setup unaweza uka disable Port za flash disk zisifanye kazi yoyote. Swali je ukichomeka USB, flash disk nyingine zinafanya zinaonekana kwenye PC yako? Hiyo flash umejaribu kuichomeka kwenye PC nyingine? Kama ina nyimbo ukichomeka kwenye radio zinaimba?
Mwisho inatakiwa ukumbuke hizi device na zenyewe zina muda wao wa kuishi kama ilivyo sisi kwa binadamu.