Flash disk haifunguki

Flash disk haifunguki

kussy

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2010
Posts
408
Reaction score
124
Wadau msaada Flash Disk yangu inagoma kabisa kufunguka, ile taa nyekundu inayowaka haiwaki kabisa katika kila Computer ninayojaribu, kuna njia yeyote ninayoweza kutatua tatizo hili manake ina taarifa nyingi muhimu za ofisi na binafsi
 
siwezi pata data zilizomo? manake ni balaa!
 
Wadau msaada Flash Disk yangu inagoma kabisa kufunguka, ile taa nyekundu inayowaka haiwaki kabisa katika kila Computer ninayojaribu, kuna njia yeyote ninayoweza kutatua tatizo hili manake ina taarifa nyingi muhimu za ofisi na binafsi

Haiwaki, haisomeki =Ime R.I.P
 
haiwi ditected kny computer, na hata ile red light inayoblink ukiichomeka haiwaki
 
Back
Top Bottom