Soma hapa Usishangae USB Flash drive yako inapoharibika ! Je unauhakika ni Original ? (Flash fake huwa hivi)Nina flash yangu 64gb kila nikitaka kuformat haitoi option ya kuformat kwa fat 32 napata zingine only... na pia ukiweka files..... chache za mwanzo zinafanya kazi zingine zinafail....