Flame za biashara zinapangishwa Mwenge

Pelham 1

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
548
99
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Mahitaji: Flame za biashara zinapangishwa Mwenge near TRA
Flame za mbele ni kuanzia Million 1, Laki 8, 7 mpaka 5 zinatofautiana ukubwa
Na za ndani ni kuanzia laki 4, 3 mpaka 2.5
Kila flame inajitegemea luku yake.
Contact: 0785-074040
Karibu sanaaaaaa...
 

Attachments

  • 1456653707670.jpg
    1456653707670.jpg
    71.3 KB · Views: 86
  • 1456653788625.jpg
    1456653788625.jpg
    61.5 KB · Views: 115
  • 1456653841289.jpg
    1456653841289.jpg
    55.8 KB · Views: 74
  • 1456653906649.jpg
    1456653906649.jpg
    42.2 KB · Views: 89
Hii ya mtu kuandika flame huku akimaanisha frame inatokea sana. Ni sawa na watu wanavyoandika maneno tofauti kama renta au rinta wakimaanisha "lintel" kwenye mambo ya ujenzi wa nyumba baada ya kufikia mwisho wa tofali za milango na madirisha kabla ya Kuweka beam. Utasikia mtu akisema " ujenzi umefikia kwenye renta au rinta".
 
Back
Top Bottom