Flagship Soundbars

Sasa ukilinganisha midrange soundbar zote...hisense,skywood na nyinginezo hamna kama VIZIO
 
Chief kwa soundbars hakuna kama Vizio, unataka Dundo beba AVR
 
Chief kwa soundbars hakuna kama Vizio, unataka Dundo beba AVR
Basi hapo nimekuelewa, ukitaka dundo tumia AVR ila soundbar mkito sahau, unalamba stereo na future's zake
 
Hili hapa
 

Attachments

  • IMG_20260208_171501_186.jpg
    679.3 KB · Views: 24
Wale wa AVR mmekumbukwa pale Makumbusho



Instagram
 
Wazee wa mikitooo mmekimbiaaa jmn hii page, vizio p514a-h6 elevate ni mashine, kama una pesa nunua achana na vile vidogo labda kama unataka kwa ajili ya kusikiliza taarifa ya habari na movie kidogo, ila kama ni mkitooo p elevate, na wenzake akina JBL bar 1000mk2, Q 990D
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…