apo torrent ni uhakika , utofauti utauona hasa ukiwa una vifaa mana izi device zetu za kawaida ngumu sana au uwe ni audiophile * Sema kwa siku hizi kama ni mpenzi wa mziki bora ulipie tu hizi music platform kuliko kujitesa na kupakua nyimbo (apple music - audio quality inacover zote hasa kama una vifaa ,yt music na Spotify - best algo recommendation)