Humtakii kheri! Hisa bongo? Very risk. Ushauri chukua FDR _Fixed deposit bila shaka Barclays wanarate nzuri au ufuatilie kwa bank zenye uhitaji na deposit acha hii inayopigiwa promo na JPM ina rate ndogo ajabu.Kanunue hisa voda au tigo, upige hela kijana. Anyways unahitaji kuwa makini katika hili asee.
Kanunue hisa voda au tigo, upige hela kijana. Anyways unahitaji kuwa makini katika hili asee.
Nunua nyumba utapat faid kuliko yote ulio taja
Viwanja pia ni non risk
habari wadau..
naombeni msaada wa ushauri..
nimepata mgao wa urithi kama milion 30 hivi.... sitaki kuzitumia now na nipo chuo bado nasoma.
nafikiria kuziwekeza kwenye non risk investment....
kwa mnaojua naombeni ushauri je hati fungani faida yake ikoje... na je inaizidi ya fixed deposit.. na faida yake unayopata je inakatwa kodi kwa kiasi gani??
pia nina wazo ya kununua nyumba zinazopigwaga mnada na mabank na madalali... je changamoto zake zikoje??
sitaki ushauri kuhusu biashara nyingine yoyote zaidi ya hayo maswali yangu.
na bank ipi ina faida kubwa zaidi kuwekeza hizo hati fungani au fixed deposit
Kijana tumia sehemu ya hiyo fedha kuwekeza kwenye elimu, kama upo first degree unge opt kupata masters, then ukitoka huko unaanza maisha, ajira zipo cha msingi subira
Asante mkuu kwa kunifumbua macho.Humtakii kheri! Hisa bongo? Very risk. Ushauri chukua FDR _Fixed deposit bila shaka Barclays wanarate nzuri au ufuatilie kwa bank zenye uhitaji na deposit acha hii inayopigiwa promo na JPM ina rate ndogo ajabu.
Uzi wako nimeusoma na kuuelewa,vipi umeamua kuiwekeza kwenye nini iyo hela yako,nami nina kama robo tatu ya pesa yako nataka kuiwekezahabari wadau..
naombeni msaada wa ushauri..
nimepata mgao wa urithi kama milion 30 hivi.... sitaki kuzitumia now na nipo chuo bado nasoma.
nafikiria kuziwekeza kwenye non risk investment....
kwa mnaojua naombeni ushauri je hati fungani faida yake ikoje... na je inaizidi ya fixed deposit.. na faida yake unayopata je inakatwa kodi kwa kiasi gani??
pia nina wazo ya kununua nyumba zinazopigwaga mnada na mabank na madalali... je changamoto zake zikoje??
sitaki ushauri kuhusu biashara nyingine yoyote zaidi ya hayo maswali yangu.
na bank ipi ina faida kubwa zaidi kuwekeza hizo hati fungani au fixed deposit
Uzi wako nimeusoma na kuuelewa,vipi umeamua kuiwekeza kwenye nini iyo hela yako,nami nina kama robo tatu ya pesa yako nataka kuiwekeza
Rate zao zikoje mkuuhabari mkuu. niliweka fixed access bank
Rate zao zikoje mkuu
Mmmhhhhmi wananiwekea kwa 11% kwa mwaka
mkuu bora ungeweka hati fungani maana kule kunafaida faida ni 100 asilimia pia inakuwa na faida zaidi ya fixed a/c maana huko fixed a/c wao wanazitumia katika biashara, ukihitaji hili kwa zaidi waone broker wa hati fungani kama SOLOMON brokers
Poa mkuu ila hiyo rate mbona kubwa sana?nimeweka fixed na rate sio mbaya. mambo ya hati fungani kuuza ngumu kuziuza ukiwa na dharura ya haraka.. fixed rahisi kuivunja
maana mimi target ni kununua nyumba kwenye mnada.. ya location inayopangishika kwa bei nzuri
poa mkuu ila hiyo rate mbona kubwa sana?
Rate yao kwa mkopo ni ngapi mkuuu?access wana rate nzuri kuliko bank kubwa kama nmb, crdb etc