Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Fanya uwekezaji kwenye biashara ya cement na gypsum powder ,ikiwa una zaidi ya mil 7 , join me
 
Huu ni uvivu wa hali ya juu, uweke bank milioni 50 kwa mwaka faida ya milion 4, wakati unauwezo wa kuweka kwenye biashara milion 5 ukapata kila mwezi milioni 1 sehe ambayo hata haijachangamka, kweli tuna mawazo tofauti, mimi leo unipe milion 20 baada ya mwaka utanishangaa
Ni vizuri ukiweka bayana unayoweza kuyafanya kwa kiwango hicho cha fedha.. Ili nasi tusizivundike pesa zetu Bank.
 
Wapendwa I have a certain sum of money ambayo sitarajii kuitumia soon na nimefikiria kufungua fixed account niweke angalau kwa mwaka mmoja ila sijawahi fungua hiyo account before kwa hiyo kwa wale wanaojua rate of interest ya fixed account especially kwa CRDB wanieleze tafadhali
Km mzigo ulionao ni mkubwa kuanzia 12M, kubali kupata hasara kwa kuibadilisha hiyo pesa kwenda kwenye dola ya marekani, halaf fungua account ya fedha za kigeni na iingize iwe fixed, hapo hutojutia, pesa za madafu haziaminiki
 
wekeza kwene kiwanja mjini blv me for 3 / two yrs utadouble hiyo hela yako ila hakikisha kiwanja kina hati na usiuziwe kwa hela kubwa kwa ushaur zaidi ni pm
 
Habari wana JF,

Ushauri unahitajika kuhusu kuweka pesa katika hizi " Money Management Companies) mfano TCL : Tanzania Security Limited na zingine kama hizo Versa Kuweka pesa Bank kama Fixed deposit. Nawaomba wajuzi wa kiuchumi watoe ushauri wakielezea faida na changamoto ya mifumo hii miwili ya kuwekeza pesa zetu. Katika kipindi hiki Bank zinapolalamika kwamba hazina pesa Hali Mbaya ya Mabenki: Mabenki sasa yawataka wenye viwanda kupunguza maombi ya mikopo ni wapi mtu anaweza kupata faida kubwa kati ya mabank au hivi Money Management Companies?. Naomba kuwakilisha
 
Hapo unazungumzia kuwekeza kwenye FDR au investment kwenye shares. FDR ukikubaliana na benki rate nzuri inalipa maana ni faida ya uhakika huku capital ikiwa pale pale. FDR zipo za miezi 3,6, mwaka n.k na interest zake unaweza kulipwa hata monthly kutegemea na makibaliano. Investment kwenye shares return ni dividend ambayo ni lazima kampuni ipate faida ili mpate gawio. Investment kwenye shares inataka umakini mkubwa na kufatilia kwa karibu mwenendo wa soko. Hivyo binafsi naona FDR inalipa kwa uelekeo wa uchumi wetu ambao upo kwenye reconstruction na kufanya biashara kusuasua sana. Nafikiri nimejaribu kujenga base ya mjadala zaidi.
 
Nashukuru sana kwa maelezo yako, hizi Fund Management Companies (FMC) kwa mfano Tanzania Security Limited (TSL) niliyoitaja hapo juu wanafanya kitu kama fixed deposit katika Bank ambapo NAAMBIWA unawapatia kiasi fulani cha pesa (Capital) na then mnakubaliana Interest rate ambazo NAAMBIWA huwa mara nyingi huu juu kulinganisha na fixed deposit rates za Mabenki. Nimesikia kuwa kulingana na ROLE yao katika Fund Management; wanakuwa na Bargaining Power kubwa kwa mabenk kuliko individuals wenye nia ya kuwa ya fixed deposit. Sasa NAAMBIWA hawa Fund Management Companies huwa wanaweka hizo pesa katika mabenk as Fixed Deposits kwa rate za juu ili mwisho wa siku wapate faida na pia kukupatia wewe faida yako. Nilipopata hizi taarifa nikaziona kama "They are too good to be true" ndipo nikaamua kuileta hii mada hapa JF home of Great Thinkers ili kuondolewa hiki kijiwingu ninachokumbana nacho. Naomba kuwakilisha tena. Ahsante

Hapo unazungumzia kuwekeza kwenye FDR au investment kwenye shares. FDR ukikubaliana na benki rate nzuri inalipa maana ni faida ya uhakika huku capital ikiwa pale pale. FDR zipo za miezi 3,6, mwaka n.k na interest zake unaweza kulipwa hata monthly kutegemea na makibaliano. Investment kwenye shares return ni dividend ambayo ni lazima kampuni ipate faida ili mpate gawio. Investment kwenye shares inataka umakini mkubwa na kufatilia kwa karibu mwenendo wa soko. Hivyo binafsi naona FDR inalipa kwa uelekeo wa uchumi wetu ambao upo kwenye reconstruction na kufanya biashara kusuasua sana. Nafikiri nimejaribu kujenga base ya mjadala zaidi.
 
Ni bora kuwekeza kwenye ma kampuni kuliko fixed account. kwa sababu unapo nunua hisa kwenya makampuni kuna kipindi zinapanda bei zinakua ghali hadi raha lakini fixed account itategemea na kiwango cha percent ya interest per year
NB.
Nibora uwekeze kwenye makampuni ya serikar kwa maana haya ya watu binafsi alijulikani saa ngapi litakufa:-D:-D
 
Nashukuru kwa maelezo mazuri sana; je unaposema makampuni ya serikali unamaanisha nini? Hebu weka detail kidogo tafadhali. Ahsante

Ni bora kuwekeza kwenye ma kampuni kuliko fixed account. kwa sababu unapo nunua hisa kwenya makampuni kuna kipindi zinapanda bei zinakua ghali hadi raha lakini fixed account itategemea na kiwango cha percent ya interest per year
NB.
Nibora uwekeze kwenye makampuni ya serikar kwa maana haya ya watu binafsi alijulikani saa ngapi litakufa:-D:-D
 
Benki inayotoa Riba nzuri ktk Fixed Account ni Exim bank (8%)
CRDB bank 7.5%
Lakini benki nzuri ni Exim bank
Mkuu, interest rate inategemea na muda unaotaka Wewe fedha yako ikae benki.
Mfano, Exim Bank kwa kiasi cha <100million ktk siku 30 - 90, I/rate ni 4%; siku 90 -180, I/rate ni 5%; siku 180 to < 1yr, I/rate ni 6.5%; 1 yr ni 7.5%; >1yr ni 7%.
Sielewi kwanini muda zaidi ya mwaka 1, interest rate inakuwa 7%!
 
BEST BANK WITH GOOD RATES--ACCESS BANK 15% PER ANNUAL AND FINCA 13.5 % PER ANNUM.. YAAANI UKIWEKA 100M KWA MWAKA UNAPATA 15M NA KWA MIEZI 3 UNAPATA 15/4=3.5M
 
Mkuu, interest rate inategemea na muda unaotaka Wewe fedha yako ikae benki.
Mfano, Exim Bank kwa kiasi cha <100million ktk siku 30 - 90, I/rate ni 4%; siku 90 -180, I/rate ni 5%; siku 180 to < 1yr, I/rate ni 6.5%; 1 yr ni 7.5%; >1yr ni 7%.
Sielewi kwanini muda zaidi ya mwaka 1, interest rate inakuwa 7%!
Kwa kuwa umewaachia hela yako mda mrefu zaidi
 
FDA haina umuhim labda utake pesa yako ikae bank bila ya kukatwa tuuu....Ni bora io pesa kama nyingi utafute ata kitu kingine uwekeze ila mi ckushaur kuweka fixed. Fungua ata banda la kutoa na kuweka pesa utapat pesa ila io fixed haina mpango wowote.
 
Back
Top Bottom