Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,549
Masela mpo njema ?
Mmeacha kucheza pool tabla asubuhi? Mwenzenu nimepandikiza mipapai ukumbini. naogopa kuletewa difenda la dark blue mlagoni kwetu...Chezea Anko Magu !!!
Huu ni muendelezo wa fix za town kuhusu story za Ziro Matamaa.....
Basi mshua baada ya kufulia na kukuta nyumba yao kule mabondeni Kigogo imepigwa "X" alichanganyikiwa kabisa,siku ambayo tingatinga lililetwa kuvunja kibanda chao cha mbavu za mbwa sisi tulikuwa tunacheka tu hasa tukikumbuka tambo na visa vyake ,si imesemwa adui mwombee njaa au sio mwanangu?
Ziro Matamaa baadaye akapiga mishe mbili tatu akanyaka mpunga mrefu tu na kuamua kuinvest kwenye pool table na kujenga kibanda umiza huku uswahilini kwetu,maisha yakasonga fresh tu si mnajua masela wa Uswaz kwa kupenda starehe na kamari basi mshikaji akapiga pesa ndefu na heshima ikarudi kitaa kwani akaanza dharau zake na kujionyesha kwa kubadilisha watoto wakali daily!!
Kimbembe sasa kimeanza last week baada ya mkuu wa kaya Prezida Anko Magu kupiga marufuku pool table taimu za kazi, jamaa kanuna mbaya biashara imechacha na kumbuka kibanda chao kule mabondeni kilishavunjwa na gavamenti ya Bongoland.... Jamaa anaandamwa na nuksi si za kitoto
Wanangu naishia hapo coz Ziro nipo nae jirani hapa asije kukiawasha bure , MTU mwenyewe nashindia uji...ugomvi ntaweza!!
Fix za Town part 1 zipo hapa
Fix za town
***Uswaz hatufikirii mara mbili***
Bishoo la Town
The Bitoz