Fitina za Shigongo Hizi Hapa

Wadau,

Mimi ni mmoja wa watu tunaopinga mienendo ya Shigongo na magazeti yake lakini kwenye hii issue ya Jose Chameleon lazima tuwe wakweli.

Huyu mganda ana matatizo sana tusifumbwe macho na chuki dhidi ya Shigongo bali pia upande wa pili wa Chameleon.Jamaa amelalamikiwa hadi Kenya na inasemekana hata A.Y alimtahadharisha Shigongo tabia ya udanganyifu ya Chameleon.

Inashangaza msanii wa level kama yake kuwa na tabia za namna hii! Sishangai matukio ya kutaka kujiua kule Impala Arusha,kubadili dini alafu baada ya kususwa na mkewe na watoto akarudia dini yake!

Kwa mafanikio ya kisanaa aliyonayo Chameleon anataka nini tena mbona mtata sana?
Umetumwa na Shigongo nini kuja kubadili upepo nini we stick kwenye mada siyo kumensheni tabia za chameleon
 
Back
Top Bottom