Nimeangalia join date yako nimekusamehe bure mdogo wangu, hakuna shabiki mkuu wa Yanga kwa wanawake hapa JF kunizidi, mimi ni Yanga damu!
Uwe unakuja kwenye matukio live, kwenye thread kidogo sipo active.
si kuna msemo naona unaenezwa humu unasema kwamba (ukiondoka Yanga kwisha habari yako) tena na mifano ikatolewa kedekede. Sasa inakuwaje kwa Mayele inakuwa tofauti!