Fisi wa kufugwa

Hawa jamaa watakuwa wanga....siku hao fisi wakikosa nyama
watawala wenyewe
 
Halafu wanapata nini? Au wanawatumia kwenye safari za za usiku?
 
mmh duh wanapata wapi nyama za kuwalisha kila siku? lazima watakuwa wachawi si bure
 
'nendeni mkatawale viumbe wote wa ardhini' sioni kinachoshindikana hapo.
 
Hawana tofauti na wale wafuga CHATU na CHUI kwa matumizi anuai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…