Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Jan 24, 2015 #1 Sijaelewa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,366 Reaction score 108,520 Jan 24, 2015 #2 Hii ni Tanzania mkuu? Ina maana ni halali kumiliki wanyama pori?
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Jan 24, 2015 #3 Amealikwa na Pinda, huu ni usafiri wake wa kuwindia albino usiku katika harakati zake za kuwania urais.
Amealikwa na Pinda, huu ni usafiri wake wa kuwindia albino usiku katika harakati zake za kuwania urais.
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Jan 24, 2015 Thread starter #4 watu8 said: Hii ni Tanzania mkuu? Ina maana ni halali kumiliki wanyama pori? Click to expand... Tanzania mkuu si unaona meza imefunikwa bendera ya ccm
watu8 said: Hii ni Tanzania mkuu? Ina maana ni halali kumiliki wanyama pori? Click to expand... Tanzania mkuu si unaona meza imefunikwa bendera ya ccm
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,921 Jan 24, 2015 #5 Nliona neno fish badala ya fisi sijui uzee unaninyemelea....
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Jan 24, 2015 Thread starter #6 farkhina said: Nliona neno fish badala ya fisi sijui uzee unaninyemelea.... Click to expand... naona uzee umekuanza,fish utakuwa unawaza misosi mama mkwe
farkhina said: Nliona neno fish badala ya fisi sijui uzee unaninyemelea.... Click to expand... naona uzee umekuanza,fish utakuwa unawaza misosi mama mkwe
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,921 Jan 24, 2015 #7 Viol said: naona uzee umekuanza,fish utakuwa unawaza misosi mama mkwe Click to expand... Nakwambia nazeeka hata sijaitwa bibi bado
Viol said: naona uzee umekuanza,fish utakuwa unawaza misosi mama mkwe Click to expand... Nakwambia nazeeka hata sijaitwa bibi bado
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,159 Reaction score 831,830 Jan 24, 2015 #8 watu8 said: Hii ni Tanzania mkuu? Ina maana ni halali kumiliki wanyama pori? Click to expand... Afrika magharibi hiyo
watu8 said: Hii ni Tanzania mkuu? Ina maana ni halali kumiliki wanyama pori? Click to expand... Afrika magharibi hiyo
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Jan 24, 2015 Thread starter #9 mshana jr said: Afrika magharibi hiyo Click to expand... siyo bendera ya ccm hiyo?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,366 Reaction score 108,520 Jan 24, 2015 #10 Viol said: Tanzania mkuu si unaona meza imefunikwa bendera ya ccm Click to expand... Mwanzoni niliwaza hivyo pia... Lakini nilipotazama viunoni mwa baadhi ya hao askari sijaona mikanda yao ile yenye nakshi za bendera ya Tanzania...
Viol said: Tanzania mkuu si unaona meza imefunikwa bendera ya ccm Click to expand... Mwanzoni niliwaza hivyo pia... Lakini nilipotazama viunoni mwa baadhi ya hao askari sijaona mikanda yao ile yenye nakshi za bendera ya Tanzania...
dawa yenu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 2,829 Reaction score 3,733 Jan 24, 2015 #11 Viol said: siyo bendera ya ccm hiyo? Click to expand... Naipenda Yanga ila rangi zake huwa zinanichefua
Viol said: siyo bendera ya ccm hiyo? Click to expand... Naipenda Yanga ila rangi zake huwa zinanichefua
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Jan 24, 2015 Thread starter #12 watu8 said: Mwanzoni niliwaza hivyo pia... Lakini nilipotazama viunoni mwa baadhi ya hao askari sijaona mikanda yao ile yenye nakshi za bendera ya Tanzania... Click to expand... nadhani kwa vigezo hizo nimechemka
watu8 said: Mwanzoni niliwaza hivyo pia... Lakini nilipotazama viunoni mwa baadhi ya hao askari sijaona mikanda yao ile yenye nakshi za bendera ya Tanzania... Click to expand... nadhani kwa vigezo hizo nimechemka
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Jan 24, 2015 Thread starter #13 dawa yenu said: Naipenda Yanga ila rangi zake huwa zinanichefua Click to expand... napenda njano na kijani ila ccm imenifanya nichukie
dawa yenu said: Naipenda Yanga ila rangi zake huwa zinanichefua Click to expand... napenda njano na kijani ila ccm imenifanya nichukie
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 5,668 Reaction score 7,075 Jan 24, 2015 #14 Hao ni ccm wanatafuta dawa ya ukawa ika wame chemka!
Mtali JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 3,959 Reaction score 3,336 Jan 24, 2015 #15 Shughuli za wagogo hizi...
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jan 24, 2015 #16 mshana jr said: Afrika magharibi hiyo Click to expand... Hata bongo WaPo wanofuga....
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,877 Reaction score 4,612 Jan 24, 2015 #17 watu8 said: Hii ni Tanzania mkuu? Ina maana ni halali kumiliki wanyama pori? Click to expand... Bila shaka ilikuwa Mbeya, namuona kamanda Diwani Athuman hapo! TATIZO ni hivyo vitambaa vya chama!
watu8 said: Hii ni Tanzania mkuu? Ina maana ni halali kumiliki wanyama pori? Click to expand... Bila shaka ilikuwa Mbeya, namuona kamanda Diwani Athuman hapo! TATIZO ni hivyo vitambaa vya chama!
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Jan 24, 2015 Thread starter #18 watu8 said: Mwanzoni niliwaza hivyo pia... Lakini nilipotazama viunoni mwa baadhi ya hao askari sijaona mikanda yao ile yenye nakshi za bendera ya Tanzania... Click to expand... ila kama kulia kabisa mezani kuna mtu kama pinda
watu8 said: Mwanzoni niliwaza hivyo pia... Lakini nilipotazama viunoni mwa baadhi ya hao askari sijaona mikanda yao ile yenye nakshi za bendera ya Tanzania... Click to expand... ila kama kulia kabisa mezani kuna mtu kama pinda
Mu-Israeli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,454 Reaction score 975 Jan 24, 2015 #19 mshana jr said: Afrika magharibi hiyo Click to expand... Na TZ pia hatuko mbali sana ....
Mu-Israeli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,454 Reaction score 975 Jan 24, 2015 #20 Viol said: nadhani kwa vigezo hizo nimechemka Click to expand... Hujachemka.....