Fish calling machine.

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Wadau, jana niliangalia kipindi kwenye tbc ambacho walionyesha mashine yenye uwezo wa kuita samaki baharini/ziwani/bwawani/mtoni through high frequency sounds. Mvumbuzi ni mwalimu wa Veta, Tanga. Mashine inaweza kuongeza ufanisi katika uvuvi. Mvumbuzi anaitwa Emmanuel Bukuku. Naomba mwenye email yake au namba yake ya simu anipe kwani nina hamu ya kujipatia mashine hii ya ajabu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…