hawajui kama hela za bodi ya mikopo zina chuma ulete!!

BOOM halitoshagi,hata upewe milioni ....kila mtu anapata hela at the same time...so wewe utaona unaspend kawaida tu,,,utataka flat screen,mara subwoofer,utataka uwatoe wadogo zako,ununue zawadi za home,upendeze kama wenzako,ule vizuri.....baada ya wiki 3 tu,,BOOM kwishnehi.just be organised know ur goals utafanikiwa....choose gud friends,stick with ur budget and know that umekuja mwenyewe,,,,kila mtu na mishe zake.
du ukiingia tu unapewa 702,500.00 Shilingi laki saba na elfu mbili na mia tatu. mi nakwambiaje hata wadogo zako wa shule za kata utawasomesha,utanunua ni vijiunga vya ugali upeleke home. uwezi watupa home, mana hali ya maisha ni ngumu.BOOM is BOOM. maisha bora kwa kila mwanafunzi/ usitafute demu, watamaliza zote, mana nywele tu za kimasai kusuka 15000 na kila baada ya siku 3. saluni almost kila siku. skin jeans shoping kila jmos. msosi wao chips mayai, kuku. simu anataka blackberry. waambie wazazi kijijini wakutafutie mke.

Thanks alot bro 4 this advice.. chochote kingine cha kuniongeza? mi bado 2 weeks niingie UDSM apoBOOM halitoshagi,hata upewe milioni ....kila mtu anapata hela at the same time...so wewe utaona unaspend kawaida tu,,,utataka flat screen,mara subwoofer,utataka uwatoe wadogo zako,ununue zawadi za home,upendeze kama wenzako,ule vizuri.....baada ya wiki 3 tu,,BOOM kwishnehi.just be organised know ur goals utafanikiwa....choose gud friends,stick with ur budget and know that umekuja mwenyewe,,,,kila mtu na mishe zake.