FBY 2013
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 401
- 89
1st year ishini vizuri na mliowakutahapo chuo, kuna wengine ni Kama baba na Mama zenu.
Wapeni heshima zao.
Hizi tamaa za vijipesa sio nzuri.Chuo ni sehemu nzuri ya kutengeneza fursa za kujiajiri na kuajiriwa.
Tatizo vijana wengi kwa sasa hawajielewi.